Neno la Ukaribisho

Karibu katika tovuti yetu. Tovuti hi inakusogeza wewe Mwananchi karibu na Serikali yako kwa kukupa fursa ya kupata taarifa muhimu zinazohusu utekelezaji wa shughuli za maendeleo katika Wilaya yetu. Tovuti hii pia inalenga kujenga na kuimarisha mahusiano baina ya Wananchi na Serikali kwani unapata nafasi ya kutoa kero zilizopo katika eneo unaloishi na kutoa maoni ya mahitaji ya huduma za kijamii

Zaidi→“Kuna vitu vingine tunavisababisha wenyewe, kipindupindu ni chanzo cha umaskini katika jamii, pia kunarudisha nyuma mapambano dhidi ya Maradhi, Ujinga na Umaskini kwani serikali italazimika kutafuta pesa kwa ajili ya kununua madawa na vifaa tiba kwa ajili ya wagongwa wa kuhara na kipindupindu” Mkuu wa Wilaya ya Gairo,

- Gairo DC.Hon Hanifa Karamagi


Copyright © 2014 Gairo's District Office . All Rights Reserved.